ambapo Banda anakuwa rais wa kwanza wa kike kusini mwa Jangwa la Sahara, na aliapishwa mbele ya bunge katika mji mkuu wa Malawi, Lilongwe.
Joyce ambae amekuwa makamu wa rais tangu mwaka 2009, Rais Banda alisisitiza utulivu hasa katika kipindi hiki cha malombelezi ya kuondokewa na aliye kuwa rais wa Malawi Bingu wa Mutharika.